Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

JINSI YA KUTENGENEZA BARAFU (ICE CREAM)..

 JINSI YA KUTENGENEZA BARAFU (ICE CREAM)

> Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na yachemshe, ongeza sukari na chumvi (ukipenda)

> Ongeza corn starch au ubuyu na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vizuri, chemsha kwa dk 8, kisha acha ipoe na ongeza ladha uipendayo

> Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.

Endelea kuwa nasi Dinony Mautundu………..

 

Post a Comment

0 Comments