Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

Jinsi ya kutengeneza Channel YouTube na kuanza kulipwa

Jinsi ya kutengeneza Channel YouTube na kuanza kulipwa

Mahitaji

1: YouTube Application

2:Email

3: Channel name

4:Bundle

Hatua

1:Fungua YouTube Application yako

Kisha bonyeza profile picture yako itayoonekana kulia mwa application yako

2:Bonyeza sehemu ilioandikwa "Your Channel"

3:Jaza first na second name utayotaka kutumia Kama jina la channel yako

Mfano first name Kigogo 1 second name Tv kwa hiyo jina la channel yako litakua Kigogo 1 TV

Usipoelewa gusa maneno yaliyoandikwa "jinsi ya kutengeneza Channel ya YouTube" juu ya post hii itakupeleka kwenye video YouTube na utaielewa kwa picha Asanteh kwa kunifatilia

Post a Comment

0 Comments