Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

MAANA YA MAJINA YA WATU WANAOANZIA NA HERUFI U, V, W,

 

Watu ambao majina yao ya mwanzo huanzia na herufi "U"

Wanapenda sana kupata attention' kwa watu hasa kutokana na mionekano yao, Wanajali sana kuhusu kuonekana vizuri, Wanapenda changamoto, Wanapenda kupokea zawadi. Ni wabunifu sana, Wengi wamefanikiwa kutokana na kile wanachofanya. Wanajua sana mahaba, Ni nadra kuwakuta singo' kwa muda mrefu, Huzama sana pia kwenye mapenzi jambo ambalo hupelekea kuumizwa sana pia.

Watu ambao majina yao ya mwanzo huanzia na herufi  "V"

Wapo imara sana na huwa sio waoga, Huwa na tabia ya uaminifu, Wanajiamini, Huwa sio wepesi kuruhusu watu kuzoeana nao na kama wakiruhusu huwa nawe mpaka mwisho. Ni wachapakazi sana, Wavumilivu, Wanapata sana tabu kwenye kuanzisha mahusiano ya kimapenzi yote ni kutokana na kuwa wagumu kuruhusu kuzoeana na watu kwenye maisha yao. Wanavutiwa zaidi na watu ambao wana vitu/tabia ya utofauti zaidi, Hawana porojo' wakisema washasema.

Watu ambao majina yao ya mwanzo huanzia na herufi "W"

Hawa huwa wapambanaji sana kama wakiamua jambo watahakikisha mpaka linatimia, Hawakati tamaa kirahisi, Wanapenda kuwa karibu na watu wenye vitu vya utofauti. Wana sifa ya ubunifu, Wanasifika kwa uwezo wao mkubwa wa kuchochea maongezi, Muda wote wapo tayari kwa jambo lolote. Wanajua Mahaba', Wanajali sana hususani kwa mpenzi, Wanapenda sana kupitia mapenzi kama ambavyo yanavyooneshwa kwenye Filamu au vitabu.

Post a Comment

0 Comments