Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

NAMNA YA KUTENGENEZA MISHUMAA NYUMBANI BILA KIFAA CHOCHOTE.

v NAMNA YA KUTENGENEZA MISHUMAA NYUMBANI BILA KIFAA CHOCHOTE.

v Malighafi na Vifaa

v Mafuta ya taa waxi/ Nta (Paraffin wax)

v Asidi boriki na Stearine

v Rangi (ukipenda)

v Pafyumu (ukipenda)

v Utambi / uzi

v Umbo (mould) ya mshumaa

v Jiko  la  mafuta  ya  taa/ mkaa na sufuria na vijiko vya chakula

v Vifungashio vyenye lebo

v Utengenezaji

v Utambi

v Changanya asidi boriki vijiko 5 vya chakula na maji vijiko 4 vya chakula

v Koroga kwa dakika 5

v Tumbukiza utambi ukae kwa dakika 5

v Anika ukauke

v Mshumaa

v Andaa maumbo  ya mshumaa

v Weka utambi katikati ya chombo kwa kushikiza na ute wa mshumaa na funga utambi

v Weka sufuria jikoni, changanya nta kilo 1, stearine vijiko 4, chemsha  

v Changanya rangi, parfyumu, asidi na koroga hadi mchanganyiko uyeyuke

v Epua, mimina mchanganyiko kwenye maumbo na weka kwenye kivuli hadi mchanganyiko unaganda

v Ondoa mshumaa taratibu kutoka kwenye maumbo

v Vifungashio na lebo

v Fungasha mishumaa kwenye chombo kitakachomvutia mteja aweze kununua

v Bandika lebo kwenye chombo kuhusu bidhaa: Aina, mchanganyiko wa malighafi, uzito au idadi, maelekezo ya matumizi na uhifadhi, jina na anwani ya mtengenezaji, namba ya simu na barua pepe

v Onyesha nembo za ubora kamaTBS na GS1 (Barcode)

v Fuata maelekezo na taratibu za TBS

v Hati na vibali

v Onana na mamlaka husika kupata vibali na vyeti: TBS and GS1

v Pata hati ya TCCIA kwa ajili ya kusafirisha nje ya nchi

v Fuata taratibu za uuzaji bidhaa nje ya nchi

v  Endelea kuwa nasi Dinony Mautundu……………….


Post a Comment

0 Comments