Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

NDEVU HUSAIDIA KUKUZA UWEZO WA KUFIKIRI NA KUKINGA MWILI DHIDI YA ......

Ndevu humfanya mtu kuwa na afya nzuri zaidi. Tafiti zinaonesha kuwa ndevu husaidia kujikinga na maradhi mbalimbali kama Kujikinga na mzio (Allergy), Pumu, Muwasho pamoja na Vipele. Pia husaidia kulinda ngozi yako dhidi ya jua kali.


 Uume husimama kati ya mara 3-5 usiku wakati mwanaume amelala. Kitendo hicho hutokea kwa kati ya dakika 35-45 kila wakati. Hali hiyo ni ya kawaida tu na inaonesha kuwa mwili unafanya kazi vizuri.

Post a Comment

0 Comments