Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

Tafiti: Kutokupata usingizi huchangia hamu ya kufanya mapenzi/ngono.

Dakika tano tu za kuwa karibu na mwanamke anaevutia huongeza kiwango cha homoni ya Cortisol. Homoni hiyo huzalishwa na mwili pale unapokua na wasiwasi au msongo wa mawazo, Homoni hiyo huhusishwa pia na maradhi ya moyo.

"Hakuna tatizo, nipo sawa" Ndiyo kauli ya uongo zaidi ambayo watu wengi huongea.

 Tafiti: Kutokupata usingizi wa kutosha kwa vijana huongeza zaidi tamaa ya kufanya ngono, Huzuni kupindukia na tamaa ya kulewa.Post a Comment

0 Comments