Ad Code

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA 0745507517.

UTAFITI: WATOTO / WAZALIWA WA MWISHO HUWA NA TABIA ZA KUWA WABUNIFU....

 

Tafiti: Wazaliwa wa mwisho kwenye familia huwa na tabia ya kuwa wabunifu na hupenda kujitegemea zaidi kwa mambo mengi wanayofanya. Sababu mojawapo inayotajwa ni kutokana na kupewa uangalizi mdogo zaidi kimakuzi na wazazi tofauti na wazaliwa wengine kama wa kwanza.


Post a Comment

0 Comments