Kama wewe ni mfanyabiashara, na biashara yako imekua sana,unapata wateja wa kutosha online, unafahamu jinsi ya kufanya matangazo yanayorudisha faida , basi hii sio kwa ajili yako


Lakini kama unatamani kufikia hatua hiyo, basi nipende kukukaribisha ktk Free online Training nitakayoitoa kuanzia Leo (saa moja jioni, whatsapp)

Ktk siku 3, utaenda kujifunza kwa undani kitu kinachoitwa social media marketing and advertising.

Kama umekuwa ukihangaika kujiuliza

Biashara yako unaiweka vipi online?

Unapataje wateja wa online (ambao sio mchezo kuwapata)?, ...

Unajiuliza utafanyaje matangazo ya sponsored (unaskia story tu,wenzio wanavopigiwa simu na wateja kibao)...

Unaskia tu social media marketing, digital marketing, na unaamini zina impact ktk biashara yako.. Lakini hujui uanzie wapi kujifunza,.. Ufanye nini uache nini

Basi niskilize, usihangaike tena kwani lengo la training hii ni kutatua matatizo hayo, ndani ya siku 3 tu

Hii hapa sasa ratiba ya training,

=>Timetable for 3 Days Free Training on Social Media Marketing and Advertising

1)SIKU YA KWANZA

- Introduction to Digital marketing and Social media marketing

- 5 reasons why social media marketing knowledge is important for your business

- Benefits of social media marketing to your business

- Winners mindset (how to approach social media for business)

2)SIKU YA PILI

- Types of contents you should post in your Account

- Business Account Settings, Optimization and Branding

- Winner's Mindset (best practices)

3)SIKU YA TATU

- Why you should use ads for your business

- Types of ads you can use to get customers easily

- Facebook Ads Policy

- How to run successful ads for your business

- Winner's mindset

In just 3 days, utaweza kufahamu namna rahisi ya kuanza au kuboresha effort zako za marketing mtandaoni..matangazo yako pia.

Usipitwe na fursa hii, Njoo ujifunze sasa..

Ngoja nikuibie Siri, Kuna opportunity ya HOLIDAY SEASON inanukia,..advertise your business well and win more customers

Tuma text "Add Me" Kwa whatsapp 0745507517 ili nikuadd kwny group

--------------------------------------------------------

- Social Media Marketing | Facebook Ads